My Blog List

Friday, May 02, 2008

MEI MOSI MAONESHO


Jamaa wa zimamoto kutoka uwanja wa ndege KIA nao walikuwepo kuonesha mambo yao:

2 comments:

Té la mà Maria - Reus said...

very good blog, congratulations
regard from Catalonia Spain
thank you

Subi said...

Kwa nini wakamwaga maji wakati wakazi wa Moshi wanakosa maji? Na kwa nini wakazi hawakutaarifiwa wabebe ndoo zao za kubebea maji? Haya, walete fimbo sasa hivi niwatandike ili wakome. Au huenda huo ni moshi wa dawa maalumu ya kuzimia moto, ikawa ni mimi tu na ushamba wangu.