My Blog List

Tuesday, March 18, 2008

YOWERI MUSEVENI NA AJENDA YA KIFALME

Muammar Ghadafi amemuhimiza Museveni aendelee kuitawala Uganda milele.

1 comment:

SIMON KITURURU said...

Mambo yakuwa na kiongozi wa milele yamepitwa na wakati. Histori kama histori ingekuwa inatufundisha, ilijambo lingeachwa hata kuwa ni jambo la mjadala.Viongozi wakikaa sana uongozini hujisahau hapo. Gaddafi pamoja na kuzimia mambo yake mengine, sidhani kama anakumbuka inakuwaje kuwa raia wa kawaida.