My Blog List

Thursday, April 26, 2007

UTAWALA WA KIBOKO UGANDA

Makamu wa Rais wa Uganda bado anaandamwa na kashfa ya uzinzi. Uganda imeanzisha kikosi maalum: KIBOKO SQUAD kutokana na kuongezeka kwa fujo na maandamano kila kukicha dhidi ya maamuzi dhalimu ya serikali.Watu wanachapwa viboko wakijaribu kuandamana.
Uganda pia wiki iliyopita yule bondia maarufu wa nchi hilyo alirefjea nchini humo.

Baada ya uchaguzi kule Nigeria Raila Odinga wa Kenya anaeleza woga wake juu ya nguvu kubwa alizzonazo Rais wanchi na athari zake za uchaguzi ujao.

2 comments:

Mchumiatumbo said...

Hivi suala la ushujaa linatafasiriwa vipi. Kwangu huyu wala hakuwa shujaa kwani hakustahili. Tazama ambavyo ameshiriki katika kuwatesa wale wote ambao walikuwa na haki ya kupingana na M7!
Tuache unafiki na tuseme ukweli, amestahili

Innocent said...

Hapa nimekupa tu hisia za waganda na serikali zetu waafrika. Nafurahi umeona hali halisi kwani umesoma kwa undani.
Asante Mchumia.