Hii ni globu iliyovumbuliwa nchini Uganda na inaendeleza kazi zake sasa nchini Tanzania: inajaribu kukazia matumizi ya lugha ya kiswahili na kuhabarishana kuhusu maswala mbalimbali ya kujamii hasa katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati. Siasa na mambo ya michezo na kijamii kwa ujumla ndio itakayokuwa mada kuu hapa.Nitakaribisha maoni yenu.
My Blog List
Monday, November 14, 2011
KAGAME ANAVYOWAZA JUU YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI NA NCHI YAKE
Rais Paul Kagame, ni kiongozi wa aina yake katika Bara la Afrika kwa sasa. Ni mtu ambaye hata nchi yetu Tanzania tunamhitaji sana kama kweli tunataka kuendesha nchi kisasa. Msome hapa uone anafanyaje kazi zake?
1 comments:
Nice Post
http://bdchotisex.blogspot.com
Post a Comment