My Blog List

Thursday, May 12, 2011

WAKUBWA WANAVYOUTIZAMA ULAJI RUSHWA

Ni siku kibao nimepotea sijaweza kuanika mambo hapa kwenye dira. Kwa kweli mambo ya maisha yamenibana sana. Ok, kwanza nimefurahi sana Osama bin Laden kuuawa. Nategemea kuweka makala siku zijazo. Leo nimekunwa na hisia za jaji mmoja huko Kenya ambaye anajaribu bahati yake kuwania nafasi ya kuwa jaji mkuu wa Kenya.
Katiba mpya ya Kenya imeweka mambo wazi sasa, unapogombea nafasi kubwa kama hiyo, mambo yote ya interview yanakuwa wazi. Hebu soma makala hii uone mama anavyojikakamua.

No comments: