Kuchaguliwa kwa Emmanuel Macron kuwa Rais wa Ufaransa akiwa kijana wa umri wa miaka 31 ni hali iliyonishangaza sana. Nimeitafakari hiyo hali ya nchi kuongozwa na kijana wa umri huu nikajiulliza hivi katika nchi zetu inawezekana?
Nikitizama siasa za kiafrika na namna ukwasi unavyotawala siasa zetu na chaguzi zetu, sina hakika inawezekana. Lakini pia namna na staili ya maisha ya Macron, familia yake jinsi anavyoishi na mwanamama mwalimu wake, sina hakika kama wahafidhina wa kiafrika wangelimruhusu kijana huyu kuwatawala.
Ninapiga picha kampeni za uchaguzi jinsi ambavyo zingekkuwa ni za kuchafuana.
No comments:
Post a Comment