My Blog List

Tuesday, August 19, 2008

MWANAWASA HATUNAYE DUNIANI

Rais wa Zambia, Levy Mwanawasa amefariki dunia.
Kifo hiki nilikitarajia tangu jana usiku.

1 comment:

Mzanzibar 100% said...

We muongo kweli, eti kifo ulikitarajia tangu jana usiku duh! Hivi akina sheikh Yahya muko wengi kumbe! Hivi katika watu wote waliokuzunguka, na shida zote zinazokuandama unataka kutuambia ulipata muda kumuwaza mwanawasa na kumtarajia kifo? Acha zako una "boa" kimtindo! Kwani ungeripot tu kwamba mwanawasa hatune tena, ungepungukiwa nini?