My Blog List

Saturday, November 17, 2007

LEO JUMAMOSI

Profesa Mazrui kaandika juu ya mapambano ya mwafrika; na pia kama kawaida napenda sana kujijuza mambo ya nyakati za Iddi Amin.

2 comments:

Reginald S. Miruko said...

Hi nimepita hapo kwako, naona blogu yako bomba
. Keep it up.

Innocent said...

Nashukuru sana bwana Miruko kwa pongezi. Najaribu na hasa kuanzia sasa nilikuwa natafuta computer nitaweza kuandika mambo na mitizamo kadhaa. Naomba unifuatilie nami pia nitafanya hivyo. Maoni yako na ushauri unakaribishwa sana.
Ahsante sana.