tag:blogger.com,1999:blog-15520660.post3652371608688887102..comments2024-01-12T02:45:41.316-08:00Comments on DIRA YANGU.: NANI ALIANZISHA VITA YA KAGERA?Innocent Kasyatehttp://www.blogger.com/profile/07180217466084036870noreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-15520660.post-16514341236919291252018-09-10T13:46:15.507-07:002018-09-10T13:46:15.507-07:00Enter your reply...nazani ndugu ameelezea na rejea...Enter your reply...nazani ndugu ameelezea na rejea zake katoa kama gazeti la standard pia ata kitabu cha yoweri museveni kiitwacho the struggle for freedom and democracy in Uganda Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/16337275508005273775noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15520660.post-21264314213523112652016-05-10T13:59:45.897-07:002016-05-10T13:59:45.897-07:00Ni Kamanda gani wa tanzania alieongoza majeshi ya ...Ni Kamanda gani wa tanzania alieongoza majeshi ya tanzania kumpindua iddi aminiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15520660.post-61976177014256568382015-05-29T14:27:06.592-07:002015-05-29T14:27:06.592-07:00Daaah,ahsanteni sana watoa mada leo kunakitu kipya...Daaah,ahsanteni sana watoa mada leo kunakitu kipya nime-gain hapa thnx alot you guyzAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15520660.post-37756742141038364422012-12-10T04:46:47.244-08:002012-12-10T04:46:47.244-08:00Kwa kweli kama Mwanajeshi mstaafu ningependa kuele...Kwa kweli kama Mwanajeshi mstaafu ningependa kueleza chanzo. Ila naomba niseme tu Cpl Samora wa Inteligence Kaboya alimuua Cpl Yasini wa Malire Troop (Int) Mpakani kwenye bar. Ndipo diplomasia iliposhindikana. Lakini toka Jauari 1978 tulijua vita itatokea wakati wowote. Tulikiwa tunatafuta tu chanzoAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/01097124412950151642noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15520660.post-5059768231672523282009-12-23T00:36:53.334-08:002009-12-23T00:36:53.334-08:00Kwa ninavyofahamu mimi watawala wengi wakati mwing...Kwa ninavyofahamu mimi watawala wengi wakati mwingine huanzisha chokochoko za vita kwa maslahi wanayoyajua wao wenyewe, lakini hutoa sababu zingine na wananchi huamini sababu hizo ndizo zilizopelekea nchi zao kuingia vitani. kwa hiyo japo sina ushahidi wa kutosha juu ya mada yako lakini ninaweza nikakubaliana na maelezo yako kutokana na experience niliyonayo juu ya propaganda za kivita zinazoandaliwa na watawala wetu ili kuficha ukweli wa mambo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15520660.post-80783329966891614742009-08-16T07:25:13.957-07:002009-08-16T07:25:13.957-07:00Niweke wazi kuhusu kiswahili anonymous, umejificha...Niweke wazi kuhusu kiswahili anonymous, umejificha sana. Naomba msaada zaidi.Innocent Kasyatehttps://www.blogger.com/profile/07180217466084036870noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15520660.post-52252131627322962212009-08-12T06:22:00.574-07:002009-08-12T06:22:00.574-07:00Umeeleza vizuri, lakini je tutakuwana uhakika gani...Umeeleza vizuri, lakini je tutakuwana uhakika gani kwa hayo unayosema? kama wewe unavyoona Obete na watu wengine hawaja sema kweli kuhusu chanzo cha vita, utatusibitishia vipi kuwa wewe ndio unaojua chanzo cha vita vya kagera?.<br /><br />Umetumia vizuri maneno ya kiswahili, ila bado nakushauri onana na wataalamu wa kiswahili kabla ya kutoa maelezo yoyote hadharani ili wakusaidie.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15520660.post-40487769004145645272009-08-01T23:47:23.491-07:002009-08-01T23:47:23.491-07:00Nukta ni vizuri tuelewe kuwa mara nyingine serikal...Nukta ni vizuri tuelewe kuwa mara nyingine serikali zetu hazituweki wazi hasa suala la propaganda linapokuja.<br />Nafikiri ni lazima tuwe na mitizamo mingi zaidi juu ya chanzo cha vita.Innocentnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15520660.post-85445626890526526012009-07-31T20:01:59.711-07:002009-07-31T20:01:59.711-07:00Sikuwa nafahamu chokochoko iliyotukia baina ya Waa...Sikuwa nafahamu chokochoko iliyotukia baina ya Waasi wa Uganda wakiwa na uongozi Museveni na wananchi wa kijiji cha Mtukula cha Uganda. Hii chokochoko ndiyo iliyovuruga habari na kusababisha vita.Anonymousnoreply@blogger.com