tag:blogger.com,1999:blog-15520660.post2756492672203452182..comments2024-01-12T02:45:41.316-08:00Comments on DIRA YANGU.: JK AFUNGUA BUNGE LA 10 - CHADEMA WAMSUSIAInnocent Kasyatehttp://www.blogger.com/profile/07180217466084036870noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-15520660.post-78552119695918566372010-11-20T13:36:51.273-08:002010-11-20T13:36:51.273-08:00Hakuna noma Mkuu!Tuko Pamoja !Hakuna noma Mkuu!Tuko Pamoja !Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15520660.post-78282809835825021492010-11-20T13:18:54.898-08:002010-11-20T13:18:54.898-08:00Mkuu ni siku nyingi sana nimekuwa nimepumzika hasa...Mkuu ni siku nyingi sana nimekuwa nimepumzika hasa katika kuweka mawazo yangu wazi. Kwa sasa nimeamua tena niwe ulingoni, manake huwa sipendi kuumia moyoni ila natapika hisia inapobidi.
Nafurahi pamoja na kupotea ni wewe pekee ulibakia ukihudhuria jamvi langu. Naomba tuendelee kuwasiliana, I shall write an email to you soon.

Ni hayo tu Mkuu kwa leo.Innocent Kasyatehttps://www.blogger.com/profile/07180217466084036870noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15520660.post-43113711605848087682010-11-19T02:13:15.642-08:002010-11-19T02:13:15.642-08:00@Mkuu Inno:Ulikuwa ni mguno wa kutafakari na pia n...@Mkuu Inno:Ulikuwa ni mguno wa kutafakari na pia niliandika hivyo katika ku CUE comment zitakazo wekwa hapa zinijie kwenye e-mail yangu moja kwa moja kama ntachelewa kufika hapa kijiweni.

Ni hilo tu Mkuu!

PS:

Vipi mambo lakini Mkuu!Longtime unajua hatujasabahiana!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15520660.post-50036138735049783542010-11-19T01:08:15.183-08:002010-11-19T01:08:15.183-08:00Kwani vipi?Kwani vipi?Innocent Kasyatehttps://www.blogger.com/profile/07180217466084036870noreply@blogger.com