tag:blogger.com,1999:blog-15520660.post212713855386772216..comments2024-01-12T02:45:41.316-08:00Comments on DIRA YANGU.: HATUHITAJI SHIRIKISHO ILA JUMUIYA INATOSHA--EACInnocent Kasyatehttp://www.blogger.com/profile/07180217466084036870noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-15520660.post-44240265438272155342007-07-18T09:01:00.000-07:002007-07-18T09:01:00.000-07:00Nashukuru bwana Kitururu, nakwambia hapa Bongo kun...Nashukuru bwana Kitururu, nakwambia hapa Bongo kuna wasomi lakini tatizo pesa zinafanya bongo zinakufa ganzi. Yaani waheshimiwa wa hapa wameenda shule ila ile "Role Model" hakuna.<BR/>Tumekwisha.Innocent Kasyatehttps://www.blogger.com/profile/07180217466084036870noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15520660.post-63591833526645484962007-07-17T23:08:00.000-07:002007-07-17T23:08:00.000-07:00Kweli kabisa!Hili swala mimi naliogopa sana!Halafu...Kweli kabisa!Hili swala mimi naliogopa sana!Halafu kutokana na taaluma zilizo onyeshwa na wataalamu wetu bongo za kuingia mikataba ya ajabu, Richmond moja wapo, na pia Raisi kukiri huko Norway kuwa taaluma ya kuingia mikataba ni duni bongo, mimi naaogopa kujiingiza katika maswala ambayo baadaye tunaweza kujikuta tumeliwa tu.Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com