tag:blogger.com,1999:blog-15520660.post113864838516737307..comments2024-01-12T02:45:41.316-08:00Comments on DIRA YANGU.: JK ANATANIA TU.Innocent Kasyatehttp://www.blogger.com/profile/07180217466084036870noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-15520660.post-1140279030840892002006-02-18T08:10:00.000-08:002006-02-18T08:10:00.000-08:00Innocent! katika maisha inabidi kuchagua kuwa opti...Innocent! katika maisha inabidi kuchagua kuwa optimist, au pessimist - la kwanza ukiamini kuwa mambo yatanyooka na ya pili ukiamini mbele ni kweusi! kwa sasa hivi sina cha kufanya ila kumuunga mkono nikiamini nia yake ni njema!! na inaonekana itawezekana! mimi ni optimistic!! kumweka Ngoyai kulia kwake kunanipa imani sana - labda na ufuatiliaji hapa mwanzo mwanzo - tuombe mungu!FOSEWERD Initiativeshttps://www.blogger.com/profile/11703868842246600590noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15520660.post-1138821670479910402006-02-01T11:21:00.000-08:002006-02-01T11:21:00.000-08:00Huu mtazamo mzuri na unaweza kutumika kama good pr...Huu mtazamo mzuri na unaweza kutumika kama good prediction of what gonna come. Tungoje na tuwape muda maana naona JK kama bado anadhani yuko kwenye kampeni maana kila kukicha anataja matatizo tu wakati ni jukumu lake kuyapa masuluhisho na sisi wananchi kuona utatuzi na sio kutajiwa maana tunayafahamu tayari na yanatuumiza.boniphacehttps://www.blogger.com/profile/15745336472193470752noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15520660.post-1138796843824648972006-02-01T04:27:00.000-08:002006-02-01T04:27:00.000-08:00Safi unavyotukumbusha. Kwa uchambuzi wako inaonyes...Safi unavyotukumbusha. Kwa uchambuzi wako inaonyesha kuwa "ari mpya na kasi mpya" haijanza na Kikwete. Na kuwa pamoja na hiyo "kasi" mpya mambo huendelea kuwa vile vile. <BR/><BR/>Nadhani kuna haja ya kuanza kuelimisha umma namna ya kutafsiri kauli za viongozi.Ndesanjo Machahttps://www.blogger.com/profile/07352488691397212582noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-15520660.post-1138717667677939912006-01-31T06:27:00.000-08:002006-01-31T06:27:00.000-08:00Ari mpya,kasi mpya na nguvu mpya. Imeanza lakini i...Ari mpya,kasi mpya na nguvu mpya. Imeanza lakini imeshajipiga stop namba wani! kwenye vita dhidi ya ujambazi. Sijui hizo vita nyingine itaingia na style gani? Wawe waangalifu ausiyo itakuwa kama waliotangulia.mloyihttps://www.blogger.com/profile/09380827217064136910noreply@blogger.com